Blog Post

Siku kwa siku huwa husikilika jamii zinazovunjika ,na si kwa sababu zimekosa mali au liziki ,ila kuna tatizo kubwa kua mtu mumoja baina yao ana tatizo la kushindwa kufanya kitendo cha ngono yaani udaifu kwenye kitendo cha kujenga mapenzi. Wakati kitendo hicho hakifanyiki kama vinavyo stahili kila mumoja wapo huwa anawaza mambo mengi na kulaumiana kati yao.
Hata kama swali hilo ,hesabu halisi hazijulikani kuna jamii nyingi zinazo vunjika kupitia njia hio. Kuna habari za ma bibi au mabwana wakishikwa wakiwafanyia wenzao mapito ,na kujilushia kwenye vitendo hivyo vya uzinzi na ushalati kwa sababu hawalidhiki wala hawatoshwe na wenziwo. Tatizo kubwa ni kua mumoja wao ameshindwa kutimiriza jukumu lake la kuifanya ngono.
Kwa hivyo sasa !
kimepatikana kinywaji kijulikanacho kama ‘Kopi vitamin’. Kinywaji hicho kimetoka kwenye nchi ya Malasyia , kina uwezo wa kutatua hali hio na amani yakalejea nyumbani . sikilizeni vizuri kwa wale waliokua wadhaifu kwenye kitendo cha ngono tatizo hilo limetatuliwa.
Nini kimo ndani ya kinywaji hicho ?
Kopi vitamin ,imeundwa kwa mchanganyiko wa mimea sita, kutoka kwenya eneo za bala la Azia hiyo ndio ifuatayo:
Tongokat ali:(Eurycona longifolio) huu ni mti uonekanao huko balani Azia ,huonekana kwenye nchi za; Malaysia na Indonesia . hujulikana sana kwa kusafisha namna za jinsia za kiume na kukuza uwezo na nguvu kwenye kazi.Inachocea nguvu za kiume kwenye kitendo cha mapenzi au kitendo cha ngono. Na kwa wale wapendao kufanya mazoezi kinywaji hicho kinawasaidia sana kwa ngufu .
Guarana :Mti huo hutoka kwenye musitu wa ‘Amazone ‘ hujulikana sana ku imalisha uwezo wa hekima na mahalifa na unalinda usahavu kwa mtu ,unasaidia sana kupumzika na kuitengeneza mshipa ya bongo ili mtu awe na mawazo bola , husaidia kua na mawazo bola, pia inatatuwa tatizo la tumbo na inalinganisha umbiyo wa damu .
Maca : mti huu hujulikana kwa kujenga euwezo na namna ya kuzaa kwa jinsia ya kiume yaani unafanya kazi kubwa ili mume awe na nguvu na asiwe mudhaifu wakati wa kitendo cha ngono .Hapa hukosoa tatizo lile mume kama anashindwa kufika tamati wakati wa kitendo cya ngono wala kuweka tamati bado mwanzoni . hiki ni aina ya kiazi tamu kitokacho kwenye Amerika ya kusini kina kazi kubwa ya kujenga mwili , kina uweza wa kujenga mwili na kupiga marufuku ugonjwa tofauti .
Stevia : huu ni mumea utokao nchini Amerika ya kusini, hii ni sukali ilio bola mala 20 kuliko zingine maana inapiga marufuku ugonjwa ule wa sukali na unaleta upungufu kwa walio na shida ya unene inatengeneza mafuta mwilini ,na inazuia ucovu nisawa kwa kuilinganisha damu ndio mana watu wenye shida la ugonjwa wa sukali wana shauliwa kuitumia kwani una namna ya kupunguza sukali mwilini ni bola kwa matumizi kwa wale wanao na shida ya ugonjwa wa sukali.
Kawa: Hii si kahawa ye yote ,la . ilichaguliwa baina ya zile zilizopendwa duniani kote kufuatana na ubola wake na kazi kubwa inayofanya mwilini. Imewekwa hadhalani baada ya utafiti kama matumizi ya kuzuia ugonjwa wa kansa ndani ya viungo tofauti mwilini ,inasaidia kuzuia ugonjwa wa kuanguka ovyo .
Maziwa : Si maziwa ya aina ye yote ni maziwa ya siekuwa na mafuta na kwa kawaida tuna jua kua mafuta si kitu kizuri mwilini , na yale yanaotoka kwenye ng’ombe hayatakua mazuri yanasababisha ugonjwa wa mshipa, wahenga waliamuwa kuunda mchanganyiko wa hayo yote yanayoifanya ‘Kopivitamin’ ili kuwa na maana sana kwenye afia ya mtu sana sana kwa wale wafanyao kazi sana na pia wazee na kwa wale wanao kua na shida ya msongamano wa mawazo .
Namna gani kinywaji hiki kinawasaidia wadhaifu kwenye kitendo cha ngono !
Kwa kusema ukweli hilo ni tatizo kubwa kwenye kitendo cha ngono kuna watu wanao kua na hamu kubwa ya kitendo hicho lakini kwa ghafla wakaanguka au wakafika tamati punde , hapo sasa ndipo ‘Kopivitamin’ inafaa, inawasaidia ili nao wawe na kitendo bola kuimalisha ndowa yao .
Je wajua kwamba zaidi ya miaka 55 wa na shida yakufanya kitendo hicho ? Kopi vitamin ina faa sana kwenye maisha yao .
Nani haluhusiwi kukitumia kinyaji hiki?
Kwa kutumia Kopi vitamin kinywaji hiki hutumiwa kwa kila mtu ,ila watoto kina mama wazito , na wa mama wanaonyonyesha , na waale wanao kua na shida ya moyo kwenye hali ya juu, wakiitumia sherti wapunguze kiwango cha kutumia .
Je kwa kweli zipo shida za kuvunjika kwa ndoa ?
Hakuna hesabu zinazojulikana kuonyesha tatizo hili ,lakini tatizo hili ni shida kubwa ,watu hawaongei hadharani lakini hii ni shida la watu wengi nyumbani na kulaumiana ikiwa jirani haifanyi tendo la ngono mwenziwe analeta ugonvi na kujiuliza mengi.
Njia gani ya kutumia Kopi vitamin?
Kinywaji hiki kimeundwa kwa namna ya unga ,imefungwa kwenye kalatasi ya garama 20 tena huwa ni karatasi sita au nane kwenye sanduku moja .
Matumizi :
Tumia karatasi moja yenye garama 20 kwenye kombe la maji moto kati ya 100-120ml kologa na subiri muda wa dakika tatu ,halafu kunywa kwa kiwango chako ukitumia kahawa mwenyewe ndiye ajuae kiwango .
Kujua kiwango chako itakuchukua siku 12 na itategemea ile shida ya nguvu zako . Huwa unacukua karatasi moja kati ya siku tatu ,ukisikia inakureatea nguvu sana punguza na ucukue nusu karatasi au lobo . Na kuna wakati kwa mwanzo inakua sawa punguza tumia kalatasi moja kwenye siku mbiri au nusu karatasi kwa kila siku inategemea na jinsi unavyo jisikia .
Wale wanao kuwa na shida hilo jipeni moyo maana tatizo hilo limetolewa suluhisho .

×

Start a Conversation!

 

Hi! Click our member below to chat on Whatsapp

× Need help? Chat with us